Kapombe apelekwa Cape Town kwa matibabu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Nov 2018
Kapombe apelekwa Cape Town kwa matibabu
Afisa Habari wa Simba Haji Manara ambaye yuko nchini Afrika Kusini amesema beki Shomari Kapombe ambaye aliumia mazoezini wakati akiitumikia timu ya tayari yuko Cape Town kwa ajili ya kutibiwa majeraha aliyoyapata.



Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Manara ameandika;

"Kuna wakati Simba inashutumiwa sana kuhusiana na Uzalendo kwenye Timu ya Taifa,kwa hili linaloendelea tunategemea walau neno ASANTE"

"Mwenyekiti wetu mpya Swedy Mkwabi ambae nipo nae huku (Afrika Kusini), mchana huu amemsafirisha Beki bora wa kulia wa nchi Shomari kapombe ,ambae aliumia mazoezini wakati akiwa kwenye Timu ya Taifa

"Kapombe amekwenda Cape town kwa ajili ya vipimo zaidi kwa kazi juhudi na gharama za Mkwabi na Simba

"Taarifa za maendeleo ya kapombe tutaendelea kuwajuza kupitia idara yetu ya habari na kurasa zetu za Mitandao ya jamii," imesema taarifa ya Manara
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’