Chama, Kagere wamaliza majukumu ya timu ya Taifa AFCON

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Nov 2018
Chama, Kagere wamaliza majukumu ya timu ya Taifa AFCON
Zambia na Rwanda ni miongoni mwa timu ambazo tayari zimetolewa kwenye kinyan'ganyiro cha kusaka tiketi ya kutinga fainali za AFCON 2019 baada ya kufanya vibaya katika michezo yao ya jana.

Zambia ilipoteza mchezo muhimu ugenini Msumbiji baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji hao.

Rwanda nayo ililazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Afrika ya Kati katika mchezo wa mzunguuko wa tano uliopigwa nchini Rwanda.

Rwanda imeondoshwa mashindanoni baada ya kujikusanyia alama mbili huku Zambia ikitolewa ikiwa ina alama nne katika kundi ambalo Guinea Bissau na Namibia tayari zina alama nane huku kila timu ikiwa imebaki na mchezo mmoja

Simba imetoa wachezaji wengi kwenye timu za Taifa. Juuko Murshidi na Emmanuel Okwi wao wamejihakikishia kwenda nchini Cameroon kucheza fainali za AFCON baada ya kufuzu mapema.

Wachezaji sita kutoka Tanzania, Aishi Manula, Shomari Kapombe, Jonas Mkude, Erasto Nyoni, John Bocco na Shiza Kichuya bado wana matumaini ya kufuzu kwa fainali za michuano hiyo kutegemea na matokeo ya mchezo wa mwisho dhidi ya uganda.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’