Beki wa kulia wa Simba Shomari kapombe hatarejea nchini na kikosi cha Stars kinachotarajiwa kurudi wakati wowote kutoka Lesotho.
Kapombe atabaki nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu ya jeraha alilopata wakati akiwa na timu ya Taifa nchini humo.

Uongozi wa klabu ya Simba umependekeza mchezaji huyo atibiwe nchini humo licha la Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kutaka kumpeleka Dubai.
Kapombe alivunjika mguu kwenye mazoezi ya kikosi cha Stars na huenda akawa nje kwa muda mrefu

ADVERTISE HERE