Simba yajifua Butimba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Sep 2017
Simba yajifua Butimba
Kocha Joseph Omog ameendelea na program ya mazoezi kukiandaa kikosi cha Simba jijini Mwanza.

Ni siku ya tatu leo Simba inafanya mazoezi yakiwa ni maandalizi kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa tano dhidi ya Stand United.

Mchezo huo utapigwa mkoani Shinyanga Oktoba 01. Simba imeweka kambi Mwanza baada ya kuridhishwa na mazingira yake.

Ukimtoa Shiza Kichuya, Shomari Kapombe na Saidi Mohammed 'Nduda' ambao bado ni majeruhi, wachezaji wengine wamekuwa wakijifua kwa nguvu kulingana na Msemaji wa Simba, Haji Manara.

Kichuya aliyeumia kwenye mchezo dhidi ya Mbao FC ameendelea na mazoezi chini ya usimamizi wa daktari wa Simba.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
34m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’