Niyonzima bado ana nafasi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Nov 2018
Niyonzima bado ana nafasi Simba
Kiwango kilichoonyeshwa na kiungo Haruna Niyonzima jana kimedhihirisha mchezaji huyo bado ana sehemu yake kwenye kikosi cha Simba.

Niyonzima aliyecheza kwa dakika 83 mchezo wa kirafiki dhidi ya Nyasa Big Bulltes, alidhihirisha uwezo wake na kuwa miongoni mwa wachezaji walion'gara kwenye mchezo huo.

Mchezo huo uliopigwa dimba la Taifa ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Niyonzima amerejea katika kikosi cha Simba mwezi uliopita baada ya kutatua mgogoro baina yake na uongozi wa mabingwa hao wa Tanzania Bara.

Tangu arajee kikosini bado hajaweza kumshawishi kocha Patrick Aussems kuweza kumtumia kwenye michezo ya ligi.

Lakini hali hiyo huenda ikabadilika kwenye michezo ijayo kutokana na juhudi kubwa anazoonyesha sasa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’