Kapombe aumia Afrika Kusini, kuikosa Lesotho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Nov 2018
Kapombe aumia Afrika Kusini, kuikosa Lesotho
Mlinzi wa kulia wa Simba na timu ya Taifa, Shomari Kapombe amepata majeraha nchini Afrika Kusini kwenye mazoezi ya Stars inayojiandaa kuikabili Lesotho keshokutwa.

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba mapema leo imethibitisha kuhusu kuumia kwa Kapombe

"Mchezaji wetu Shomari Kapombe ameumia na hivyo hatacheza mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu AFCON 2019 kati ya Tanzania na Lesotho ambao utachezwa siku ya Jumapili 18/11/2018 nchini Lesotho," imesema taarifa hiyo

Kuumia kwake ni pigo kwa Stars ambayo inasaka ushindi dhidi ya Lesotho katika mchezo wa raundi ya tano kusaka tiketi ya kutinga fainali za AFCON 2019
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’