Manara akanusha taarifa ya Niyonzima kuelekea Azam Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Nov 2018
Manara akanusha taarifa ya Niyonzima kuelekea Azam Fc
Afisa Habari wa Simba Haji Manara amemshukia mwandishi na mchambuzi wa soka nchini Shaffih Dauda baada ya kuweka taarifa kwenye ukurasa wake wa matandao kijamii kuwa kiungo Haruna Niyonzima yuko mbioni kusajiliwa na Azam Fc.

Manara ameshangazwa na taarifa hizo alizodai ni za kiuchonganishi.

"Tunajua Shaffih unatumika na Maadui wa Simba kutaka kutuvuruga kusudi ili kubalance na sisi tuonekane tuna mgogoro na wachezaji wetu," ameandika Manara.

"Haruna Niyonzima yupo kambini na leo atacheza ikimpendeza kocha dhidhi ya Bata Bullets.

"Hivi mtu muungwana kabisa unawezaje kuandika uongo na kufikia kumvalisha jezi ya timu nyingine mchezaji aliye na mkataba na klabu yetu kama si uchochezi na uhuni wa kishamba?," amehojia Manara
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’