Aussems haihofii Big Bullets licha ya kuwakosa wachezaji 12

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Nov 2018
Aussems haihofii Big Bullets licha ya kuwakosa wachezaji 12
Licha ya kuwakosa wachezaji wake 12 wa kikosi cha kwanza, kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema wamejiandaa kikamilifu kuikabili Nyasa Big Bullets kwenye mchezo wa kimtaifa wa kirafiki.

Kesho Ijumaa saa 12 jioni Simba itashuka kwenye uwanja wa Taifa kuchuana na mabingwa hao wa Malawi.

Aussems amesema atautumia mchezo huo kuwapa nafasi wachezaji wake ambao wamekuwa hawatumiki mara kwa mara kutokana na ushindani wa namba uliopo kwenye kikosi chake.

"Msimu huu tunakabiliwa na michuano mingi. Tunawahitaji wachezaji wetu wote wawe katika kiwango bora na tayari kuipa matokeo timu wanapohitajika," amesema Aussems

"Mchezo wa kesho tutawakosa wachezaji wanaozitumikia timu za Taifa lakini itakuwa ni nafasi nzuri kwa wachezaji waliobaki kuonyesha uwezo wao."

"Pia mchezo huo utawapa uzoefu wa michezo ya Kimataifa kwani tunacheza na timu ambayo ni bingwa wa nchi kama sisi"
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’