Singida United yajitosa kuwawania Kaheza, Mo Rashidi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Nov 2018
Singida United yajitosa kuwawania Kaheza, Mo Rashidi
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ametoa ruhusa kwa wachezaji wake wawili, Marcel Kaheza na Mohammed Rashid kutolewa kwa mkopo dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa mwishoni mwa wiki hii.

Wachezaji hao wamekuwa hawapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Simba kutokana na uwepo wa ushindani mkali wa namba unaosababishwa na ubora wa wachezaji kikosini.

Klabu ya Singida Unuted imeonyesha nia ya kutaka kuwachukua wachezaji wote wawili ili kuongeza nguvu kwenye kikosi chao ambacho kimekimbiwa na wachezaji wengi kutokana na 'ukata'

Tanzania Prisons ilikuwa timu ya kwanza kujitokeza ikimtaka mshambuliaji wao wa zamani Mo Rashidi aliyeifungia timu hiyo mabao 10 msimu uliopita

Simba imedhamiria kuimarisha kikosi chake wakati wa dirisha dogo la usajili huku ikipanga kuwatoa kwa mkopo baadhi ya wachezaji waliokosa namba ili kulinda viwango vyao
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’