Wawa ampa jeuri kocha Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Nov 2018
Wawa ampa jeuri kocha Simba
Beki kisiki wa Simba, Paschal Wawa amempa jeuri kocha Mkuu Patrick Aussems ya kutokuwa na presha ya kusajili mabeki kwenye usajili wa dirisha dogo kwa kuwa anafanya kazi yeke ipasavyo.

Aussems amesema kuwa kwa sasa hafikirii kuongeza beki wa kati ndani ya kikosi chake kwa kuwa wale waliopo wanatosha na wanafanya kile ambacho anawaelekeza hali inyompa amani.

"Nafasi ya beki wa kati sifikiri kama nitaongeza mchezaji . Hawa waliopo wakiongozwa na Wawa ni wazuri na wanaonyesha uwezo mkubwa katika mechi zetu wanazocheza," Aussems amenukuliwa na GPL

Mabeki wa kati wa Simba Erasto Nyoni, Juuko Murshid na Paul Bukaba wameonyesha viwangi vizuri katika michezo waliyocheza kwani wameruhusu mabao manne tu katika mechi 11 za ligi.

Pia yupo beki chipukizi Yusufu Mlipili ambaye licha ya kutopata namba msimu huu, anaweza kuisaidia Simba pale atakapohitajika na kocha Aussems
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’