Jeshi la Polisi laibaini nyumba aliyokuwa amefichwa MO

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Nov 2018
Jeshi la Polisi laibaini nyumba aliyokuwa amefichwa MO
Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam, leo limeionyesha nyumba iliyotumika kumhifadhi Mfabiashara, Mohamed Dewji maarufu kama Mo alipotekwa.

Mo Dewji alitekwa na watu wasiojulikana Oktoba 11, Afajiri akiwa anaingia mazoezini katika Hoteli ya Collesium jijini Dar es Salaam.

Juhudi za kumtafuta zilifanyika kwa takribani wiki mbili hadi watekaji hao walipomuachia.

Nyumba hiyo iliyo katika eneo la Mbezi Beach jijini Dar es Salaam imeelezwa ilikodishwa kwa dola 1,500 na mtu mmoja anashikiliwa akihusishwa na watu hao wanaoelezwa kuwa ni raia wa Afrika Kusini.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’