Dirisha dogo la usajili kwa timu zinazoshiriki ligi kuu ya Vodacom pamoja na zile za ligi daraja la kwanza limefunguliwa leo Novemba 15 na linatarajiwa kufungwa Disemba 15.
Hii ni nafasi nyingine kwa vilabu kuimarisha vikosi vyao kwa kuboresha maeneo ambayo yameonekana kuwa na mapungufu.
Nafasi hii adimu inapaswa itumiwe ipasavyo na viongozi wa vilabu ili kuhakikisha wanafikia matarajio yao.
Aidha, usajili wa sasa inatakiwa ule unaohitajika zaidi kwani makosa kwenye usajili kipindi hiki yanaweza kuharibu mwendelezo wa timu wakati huu msimu ukiwa unaelekea katikati.

ADVERTISE HERE