Simba yajipima na Azam Fc U20

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Nov 2018
Simba yajipima na Azam Fc U20
Kikosi cha Simba leo asubuhi kilicheza mchezo wa kirafiki na timu ya vijana ya Azam Fc kwenye mchezo wa kuwaweka wachezaji sawa wakati huu ambao ligi imesimama.

Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0, bao lililofungwa na Said Khamis Ndemla.

Azingumzia mchezo huo kiungo Haruna Niyonzima ambaye alikuwa miongoni mwa wachezaji wa SImba walioshuka dimbani, alisema mchezo huo ulikuwa sehemu ya mazoezi kwa kikosi chao.

Hata hivyo amewapongeza vijana wa Azam fc kwa kuweza kutoa upinzani mkali kwa mabingwa hao wa Tanzania Bara ambao wanawakosa wachezaji wake 12 walio katika timu za Taifa.

"Huu haukuwa mchezo mwepesi kama wengi wanavyofikiria. Sisi tulikuwa na nia ya kupata ushindi na tumefanikiwa lakini nawapongeza vijana wa Azam wametupa changamoto," amesema Niyonzima.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’