Chirwa aikacha Yanga, ameenda Azam Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Nov 2018
Chirwa aikacha Yanga, ameenda Azam Fc
Uongozi wa Azam Fc umemsajili mshambuliaji wa zamani wa Yanga Obrey Chirwa aliyetokea nchini Misri alikovunja mkataba katika klabu ya Nogoom El Mostakbal inayoshiriki Ligi Daraja la Pili.

Chirwa anadaiwa kuletwa nchini na viongozi wa Yanga hata hivyo mchezaji huyo ameikacha timu yake hiyo ya zamani baada ya kushindwa kukubaliana kiasi cha fedha za mshahara alizotaka

Yanga ina hali mbaya ya kiuchumi huku viongozi wa timu hiyo wakishinikizwa kufanya uchaguzi na TFF baada ya kubainika aliyekuwa Mwenyekiti wao Yusufu Manji amegoma kurudi.

Kwa hali ilivyo Azam Fc ndio timu pekee ambayo inaweza kuipa changamoto Simba msimu huu katika kutetea ubingwa wake.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’