Simba ndio timu iliyotoa wachezaji wengi kwenye vikosi vya timu za Taifa zinazosaka tiketi ya kufuzu za fainali za AFCON 2019.
Hata hivyo timu hiyo imeendelea kujifua kwenye uwanja wa Boko Veterans kujiandaa na michezo ya ligi pamoja michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika.
Kwenye michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya awali, Simba itaanza na Le Messenger FC Ngozi ya Burundi inayomilikiwa na Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza.
Mchezo wa kwanza utapigwa jijini Dar es salaam kati ya Novemba 27-28 na mchezo wa marudiano utakuwa huko Burundi kati ya Disemba 04-05
Wachezaji Aishi Manula, Ali Salum, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Juuko Murshid, Cleotus Chama, Shiza Kichuya, Emmanuel Okwi, Meddie Kagere, John Bocco na Adam Salamba wako katika kajukumu ya timu za Taifa (wakubwa na U23).

ADVERTISE HERE