Matokeo, mechi za Ligi Kuu zilizopigwa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Nov 2018
Matokeo, mechi za Ligi Kuu zilizopigwa leo
Michezo sita ya ligi kuu ya Tanzania Bara mzunguuko wa 14 imepigwa leo katika viwanja mbalimbali.

Alliance Fc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa pili mfululizo baada ya kuilaza Mtibwa Sugar bao 1-0.

Baada ya kuchezea vichapo vizito kwenye michezo miwili iliyopita, leo Ruvu Shooting imezinduka na kufanikiwa 'kuipapasa' Stand United mabao 2-1

Haya hapa matokeo ya michezo yote iliyopigwa leo;



Ligi hiyo itaendelea kesho Alhamisi kwa mechezo mmoja kupigwa kati ya Mbeya City dhidi ya JKT Tanzania.

Timu za Yanga, Simba na Azam Fc zinaendelea 'kurundika' viporo baada ya michezo yao kuahirishwa kutokana na kuwa na wachezaji wengi kwenye timu ya Taifa
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’