Kiungo wa Simba Said Khamisi Ndemla ameanza majaribio katika klabu ya AFC Eskilstuna inayoshiriki ligi kuu nchini Sweden.
Ndemla atakuwa nchini humo kwa siku 14, akianza rasmi kujaribiwa jana.
Akifuzu majaribio hayo atasajiliwa kuungana na mtanzania mwingine Thomas Ulimwengu anayekipiga na timu hiyo ya AFC Eskilstuna,

ADVERTISE HERE