Simba kuivaa timu ya Nkurunziza hatua ya awali ligi ya mabingwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Nov 2018
Simba kuivaa timu ya Nkurunziza hatua ya awali ligi ya mabingwa
Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wamepangwa na Le Messager Football Club de Ngozi kutoka Burundi inayomilikiwa na Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kwenye hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika inayoanza mwishoni mwa mwezi huu.

Mchezo wa kwanza unatarajiwa kupigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kati ya tarehe 27–28 November 2018 na mchezo wa marudiano utapigwa nchini Burundi kati ya tarehe 04–05 December 2018.

Mshindi wa hatua ya awali atatinga raundi ya kwanza ambayo kama atafuzu ataingia makundi wakati atakayeshindwa atahamishiwa raundi ya pili ya michuano ya kombe la Shirikisho
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
17h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
17h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
20h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’