Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wamepangwa na Le Messager Football Club de Ngozi kutoka Burundi inayomilikiwa na Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kwenye hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika inayoanza mwishoni mwa mwezi huu.
Mchezo wa kwanza unatarajiwa kupigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kati ya tarehe 27β28 November 2018 na mchezo wa marudiano utapigwa nchini Burundi kati ya tarehe 04β05 December 2018.
Mshindi wa hatua ya awali atatinga raundi ya kwanza ambayo kama atafuzu ataingia makundi wakati atakayeshindwa atahamishiwa raundi ya pili ya michuano ya kombe la Shirikisho

ADVERTISE HERE