Mkutano Mkuu wa Simba unaendelea ukumbi wa Mwl Julius Nyerere

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Nov 2018
Mkutano Mkuu wa Simba unaendelea ukumbi wa Mwl Julius Nyerere
Mkutano Mkuu wa klabu ya Simba unafanyika leo tituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) Posta jijini Dar es salaam.

Wanachama wa klabu ya Simba wamejitokeza kwa wingi kwenye Mkutano huo ambao utafuatiwa na uchaguzi wa kuwapata viongozi wapya wa Simba.

Mkutano huo ulitarajiwa kuanza saa tatu lakini ulichelewa kuanza.

Kitendo cha kuchelewa kuanza kwa mkutano huo kimewakera baadhi ya wanachama ambao wanadai ratiba itawabana.

Katiba ya kufungua mkutano mkuu ilionyesha kuanza saa 3:25 kwa Mwenyekiti kufungua mkutano mkuu ambayo ingefanyika hadi saa 6:30.

Hadi saa 4:15 mkutano haukuwa umeanza huku baadhi ya wanachama wakilalamika kuwa kuchelewa kuanza kwa mkutano huo kama ratiba ilivyopangwa kutasababisha waburuzwe Katiba baadhi ya ajenda hususani ya mapato na matumizi.

"Tuna mkutano miwili, lakini hadi sasa hakuna kinachofanyika, hii si dalili nzuri katika ajenda za mkutano mkuu kwani tuko nyuma ya muda na inaonyesha kuna baadhi ya ajenda hususani ya mapato na matumizi tutaburuzwa," alisema Mwanachama kindakindaki wa Simba
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’