Kichuya arejeshwa Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Nov 2018
Kichuya arejeshwa Stars
Shirikisho la soka nchini (TFF) limeweka hadharani Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinachotarajia kucheza mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Lesotho Novemba 18,2018 Mjini Maseru,Lesotho.

Kiungo wa Simba Shiza Kichuya amerejeshwa katika kikosi hicho na kocha Emmanuel Amunike baada ya kukosa mchezo uliopita

Aishi Manula, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Jonas Mkude na John Bocco pia wameitwa.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’