Simba kamili kuikabili JKT Tanzania Mkwakwani leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Nov 2018
Simba kamili kuikabili JKT Tanzania Mkwakwani leo
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba leo Jumamosi saa kumi jioni wanashuka katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara mzunguuko wa 13.

Kikosi cha Simba kiliwasili mkoani Tanga juzi na jana jioni kufanya mazoezi kwenye uwanja wa Mkwakwani.

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema vijana wake wako tayari kwa mchezo huo na wana ari kubwa ya kuibuka na ushindi.

Hata hivyo Aussems hakufurahishwa na hali ya uwanja wa Mkwakwani na kuitaka TFF kuhakikisha inaboresha hali ya viwanja vya mikoani kwa maendeleo ya soka nchini.

Aussems amesema uwanja huo hauna hadhi ya kutumika kwa mchezo wa soka.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’