Mshambuliaji Adam Salamba na mlinda lango Ali Salim ni miongoni mwa wachezaji walioitwa kuunda kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya Miaka 23 kitakachoingia kambini Novemba 6,2018 kujiandaa na mchezo wa kufuzu Afcon U23 dhidi ya Burundi utakaochezwa Novemba 14 nchini Burundi na marudiano Novemba 20 Uwanja wa Taifa.
Hiki hapa kikosi kamili
Hiki hapa kikosi kamili
ADVERTISE HERE