Prisons yamtaka Mo Rashidi kwa mkopo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Nov 2018
Prisons yamtaka Mo Rashidi kwa mkopo
Wakati dirisha dogo la usajili likikaribia kufunguliwa, timu zinazoshiriki ligi Kuu zimeanza mikakati ya kutumia ipasavyo muda huo mfupi kuimarisha vikosi vyao.

Klabu ya Tanzania Prisons imebainisha kuwa itapeleka maombi kwa klabu ya Simba kumuomba kwa mkopo mshambuliaji wao wa zamani Mohammed Rashidi.

Mo Rashidi amekosa nafasi kwenye kikosi cha kocha Patrick Aussems akiwa hajacheza na hata kukaa benchi katika michezo yote 10 iliyocheza Simba mpaka sasa kwenye ligi.

Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons Abdallah Mohammed amekiri kuwa timu yake inakabiliwa na changamoto kwenye safu yake ya ushambuliaji na watajaribu kumrejesha mshambuliaji wao huyo wa zamani
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’