Ligi Kuu kuendelea leo, Simba dimbani kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Nov 2018
Ligi Kuu kuendelea leo, Simba dimbani kesho
Ligi Kuu ya Tanzania Bara mzunguuko wa 13 inaendelea leo kwa michezo miwili kupigwa.

African Lyon itakuwa uwanja wa Uhuru ikiikaribisha Lipuli Fc wakati kule mkoani Shinyanga Stand United itaumana na Coastal Union.

Ligi hiyo itandelea siku za Jumamosi, Jumapili na Jumatatu kwa michezo nane kupigwa katika viwanja mbalimbali.

Mabingwa watetezi Simba wako mkoani Tanga ambapo kesho Jumamosi watakuwa wageni wa JKT Tanzania kwenye mchezo utakaopigwa uwanja wa Mkwakwani.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’