Wagombea uchaguzi SImba kuchuana kwenye mdahalo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Nov 2018
Wagombea uchaguzi SImba kuchuana kwenye mdahalo
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kamati ya Uchaguzi wa Klabu ya Simba inawakaribisha waandishi wa habari katika mdahalo ambao utahusisha wagombea wote wa Uchaguzi Mkuu wa Simba unaotarajiwa kufanyika tarehe 4/11/2018 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), uliopo jijini Dar es Salaam.

Mdahalo huo utafanyika leo tarehe 1/11/2018 kuanzia saa 8:00 mchana katika hoteli ya Serena iliyopo Posta jijini Dar es Salaam. Pia utarushwa mubashara (live) kupitia kituo cha Azam TV.

Imetolewa na
Boniface Lihamwike
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Klabu ya Simba
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’