Tarehe kama ya leo alizaliwa beki wa kushoto wa Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr', nahodha msaidizi wa mabingwa hao wa Tanzania Bara.
Zimbwe amekuwa na mwanzo mzuri wa msimu akifanikiwa kurejea kwenye kikosi cha kwanza cha Simba
Tunamtakia kila la kheri kwenye siku yake hii muhimu.

ADVERTISE HERE