Msafara wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars umerejea nchini alfajiri ya leo kutoka Benin ambako juzi ilicheza mchezo wa kirafiki.
Taifa Stars Jumapili ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Benin katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa l'Amitie.
Baada ya kuwasili wachezaji wametawanyika kujiunga na vilabu vyao ambapo wikiendi ijayo michuano mbalimbali ya ndani itaendelea

ADVERTISE HERE