Kapombe, kinara wa kupika mabao Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Oct 2018
Kapombe, kinara wa kupika mabao Simba
Achana na burudani inayotolewa na kiungo fundi Cletus Chotta Chama 'Triple C', mwamba wa Lusaka katika kikosi cha Simba, beki Shomari Kapombe ndiye kinara wa 'upishi' wa mabao ya mabingwa hao wa Tanzania Bara.

Kapombe beki mwenye uwezo wa kupanda na kushuka kwa kasi, ametengeneza mabao matano yaliyofungwa na Simba msimu huu.

Amekuwa katika kiwango bora na hakika anastahili pongezi za kipekee.

Afisa wa Habari wa Simba Haji Manara amesifu kiwango kinachoonyeshwa na beki huyo aliyerejea Simba msimu uliopita akitoka Azam Fc.

"Cloutus Chama kiuhalisia anacheza mpira wa kwenye play station,jamaa anajua hadi anakera! Wakati tunamsajili nilivyotamba sikueleweka,now tunaelewana", ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram

"Na hivi kweli Kapombe anacheza ligi ya Bongo bado? Anaassist kuliko mabeki wengi wanaopuyanga kwenye Premier!
Simba na Barcelona ndio vitu vinavyoburudisha zaidi Duniani kando ya Pesa!"
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’