Ukiacha mchezo kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa Taifa saa moja jioni, michezo mingine minne ya ligi kuu ya Tanzania Bara inatarajiwa kupigwa leo.
Mchezo wa mapema saa nane mchana, JKT Tanzania itakuwa mwenyeji wa Tanzania Prisons katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa IsaMuhyo
Vinara wa ligi hiyo Azam Fc wako mkoani Singida kuikabili Singida United wakati kule mkoani Morogoro kutakuwa na 'derby' ya wakatamiwa ambapo Mtibwa Sugar itapepetana na ndugu zao Kagera Sugar.
Alliance, vibonde wa ligi hiyo watakuwa mkoani Mwanza kupepetana na Coastal Union kwenye mchezo utakaopigwa katika dimba la Nyamagana

ADVERTISE HERE