MO aimarisha ulinzi wake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Oct 2018
MO aimarisha ulinzi wake
Baada ya tukio la kutekwa na watu wasiojulikana wiki chache zilizopita na baadae kupatikana akiwa salama, Mfanyabishara na Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'MO' ameimarisha ulinzi wake.

Jana Ijumaa Mo alionekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu anusurike kutoka mikononi mwa watekaji hao ambao bado wanasakwa na jeshi la Polisi.

MO alikwenda kuswali swala ya Ijumaa Msikiti wa Shia ulio mtaa wa Indra Ghandi jijini Dar es salaam.

Ulinzi wa Bilionea huyo kijana zaidi barani Afrika umeimarishwa mara dufu tofauti na ilivyokuwa zamani.



Baada ya kutoka msikitini, njiani wakati anaondoka akiwa kwenye gari yake, MO alishusha vioo kuwapa sadaka wahitaji waliokuwa pembezoni mwa barabara huku walinzi wake wakiwa makini kuhakikisha usalama.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’