Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho inaingia mzunguuko wa 12 kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja mbalimbali.
Ligi hiyo itaendelea siku za Jumatatu, Jumanne na Jumatano kisha kusimama kwa michezo ya timu za Azam Fc, Simba na Yanga kupisha maandalizi ya kikosi cha timu ya Taifa.
Simba, mabingwa watetezi wa ligi hiyo kesho watakuwa wageni wa Ruvu Shooting kwenye mchezo utakaopigwa katika dimba la Taifa
Hii hapa ratiba ya michezo yote ya raundi ya 12

ADVERTISE HERE