Kumbe Salamba anajifunza kupiga gitaa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Oct 2018
Kumbe Salamba anajifunza kupiga gitaa
Juzi alipoifungia Simba bao la nne kwenye mchezo dhidi ya Alliance, mshambuliaji wa mabingwa hao wa Tanzania Bara Adam Salamba alikimbilia pembezoni mwa kibendera cha kona na kukishika mfano wa mtu anayepiga kitaa.

Salamba amefunguka kwa nini alitumia aina hiyo ya ushangiliaji.

"Nilishangilia kama napiga gitaa ili kum'support' rafiki yangu Max ambaye amekuwa akinifunza kutumia gitaa," amesema

"Mara nyingi nikitoka kwangu naenda kwake kujifunza hivyo nilimuahidi siku nikifunga nitashangilia kwa namna ile."

Katika mchezo huo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 5-1.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’