Hans Poppe amtaka Kapombe ajitathmini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
14 Nov 2017
Hans Poppe amtaka Kapombe ajitathmini
Mwenyekiti wa kamati ya usajili klabu ya Simba Zacharia Hans Poppe amemtaka beki wa kulia wa timu hiyo Shomari Kapombe ajitathmini kama aendelee kubaki Simba au aondoke.

Tangu asajiliwe na Simba, Kapombe hajacheza mchezo wowote kutokana na majeruhi 'yasiyopona'.

Poppe amekiri kwamba, walimsajili Kapombe kwa sababu walikuwa wanamhutaji lakini kama bado hajapona majeruhi yake inabidi wakae na kuzungumza kuona wanafanyaje kuhusu hilo.

Kuhusu tetesi za beki kutemwa katika kirisha dogo la usajili, Poppe amesema, hiyo itakuwa ni juu yake mwenyewe (Kapombe) kama amepona acheze kama hawezi basi.

“Hiyo itakuwa juu yake mwenyewe, kama amepona acheze kama hawezi basi, huwezi kumlipa mtu mshahara wakati hafanyi kazi inayotakiwa kufanywa.”

“Inategemea nay eye mwenyewe, kama anataka kucheza acheze, hataki ahame sio anakula hela bure. Majeruhi gani yasiyopona muda wote huo? Kama majeruhi basi akae pembeni hadi apone kwa sababu hii ni kazi ambayo mtu unahitaji kutumia mwili wako kama mwili hauwezi sasa utamlipa mshahara wa kazi gazi.”

"Vipimo vinaonesha amepona vizuri tu, lakini yeye anaweza kuwa anaogopa ataumia, sasa ni yeye mwenye aamue anacheza au hachezi."
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →