Okwi hawazi ufungaji bora kwa sasa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Oct 2018
Okwi hawazi ufungaji bora kwa sasa
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Simba Emmanuel Okwi amesema jambo analolifikiria wakati huu ni kuhakikisha anaisaidia timu yake kuibuka na ushindi katika kila mchezo ili waweze kutetea ubingwa waliochukua msimu uliopita.

Jana Okwi alifikisha mabao manne baada ya kufunga mabao mawili kwenye ushindi wa Simba wa mabao 5-1 dhidi ya Alliance.

Akizungumza baada ya mchezo huo, Okwi ambaye aliibuka mfungaji bora msimu uliopita kwa kufunga mabao 20, amesema kwa sasa haifikirii tuzo hiyo

"Nitaendelea kupambana ajili ya timu yangu na kufunga,sina mawazo ya kuwania ufungaji bora kwa sasa hilo ni jambo la kusubiri hadi mwisho wa ligi," alisema Okwi

"Ninafurahia kufunga naweza kusema kuwa kazi imeanza mashabiki waendelee kutuunga mkono"

Ushindi iliyopata Simba jana umeiwezesha kupanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 20, alama nne nyuma ya Azam Fc inayoongoza ligi.

Hata hivyo Azam imecheza mchezo mmoja zaidi ya Simba.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’