Azam Fc imefanikiwa kuilaza JKT Tanzania bao 1-0 na kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 24.
Mbao Fc imelazwa mabao 3-1 na Lipuli Fc huko CCM Kirumba huku Singida United ikipapaswa mabao 3-0 na Ruvu Shooting
Mabngwa watetezi Simba wamevuna kalamu ya mabao baada ya kuilaza Alliance Fc mabao 5-1 katika mchezo uliopigwa saa moja usiku uwanja wa Taifa
Haya hapa matokeo ya michezo yote ilyopigwa leo;

ADVERTISE HERE