Kampeni za uchaguzi Simba zaiva

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Oct 2018
Kampeni za uchaguzi Simba zaiva
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya klabu ya Simba, Steven Ally, amesema kampeni za wagombea katika uchaguzi huo zitaanza leo mara baada ya majina yao kurudi kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Ally amesema kamati hiyo imeyapeleka majina ya wagombea TFF kwa lengo la kuangaliwa maadili yao kabla ya kuanza kwa kampeni kuelekea kwenye uchaguzi huo utakaofanyika Novemba 3, mwaka huu.

Amesem hatua ya kupeleka majina ya wagombea wao, TFF ni kufuata utaratibu wa shirikisho hilo ambalo ndilo lenye mamlaka ya kusimamia na kuendesha shughuli zote za soka nchini.

"TFF wataangalia kama wana maadili mazuri, baada ya majina kurudishwa kwetu, mchakato wa kampeni kwa wagombea utaanza," Ally amenukuliwa na gazeti la Nipashe.

Alisema kama majina yangerudi jana, kampeni zingeanza leo mpaka siku moja kabla ya uchaguzi.

Nafasi zitakazogombewa kwenye uchaguzi huo ni wajumbe nane wa bodi ya klabu hiyo pamoja na nafasi ya mwenyekiti wa bodi hiyo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’