Mkurugenzi wa Makampuni ya MeTL Mohammed Dewji 'MO' ambaye pia ni Mwekezaji wa klabu ya Simba amewashukuru watu wote waliokuwa nae kwa maombi wakati wote aliokuwa anashikiliwa na watu wasiojulikana
MO aliyerejea uraiani juzi baada ya kuachiwa na watu hao waliokuwa wamemteka, ametoa salamu hizo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
MO aliyerejea uraiani juzi baada ya kuachiwa na watu hao waliokuwa wamemteka, ametoa salamu hizo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
ADVERTISE HERE