Kikosi cha Simba dhidi ya Stand United leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Oct 2018
Kikosi cha Simba dhidi ya Stand United leo
Mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara, Simba jioni ya leo Jumapili wanashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Stand United.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoshuka dimbani leo;



Kulingana na taarifa iliyotolewa na benchi la Ufundi la Simba kuhusu baadhi ya wachezaji waliokosa mchezo wa leo, kiungo Jonas Mkude bado hajapona sawasawa wakati Erasto Nyoni anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Nahodha John Bocco leo amekosa mchezo wake wa tatu kukamilisha adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa katika mchezo dhidi ya Mwadui FC
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’