Ally Shomary - Nitakomaa hapahapa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Nov 2017
Ally Shomary - Nitakomaa hapahapa
Kiungo wa Simba, Ally Shomary amesema tathmini ya kazi aliyofanya katika mechi tisa, amebaini anahitaji kuongeza nguvu zaidi ili aweze kupata namba ya kudumu.

Kwenye mahojiano na Mwanaspoti, Shomari alitaja mambo anayoyazingatia timu yake inapocheza kuwa anapopata nafasi anaangalia muda aliocheza na kutathimini mchango wake ulivyoisaidia timu na hata akitokea benchi pia anajifunza kwa nini anabadili nafasi ya mchezaji anayetoka.

"Nimeishajifunza kitu katika mechi tulizocheza, naamini kitanipa hatua mbele kwa mechi zijazo,najua nyota waliopo ndani ya kikosi chetu wana ushindani mkali wa kushikiria namba pindi wanapopata nafasi,"alisema.

"Kocha hawezi kukuacha endapo ukiwa na huduma anayoona italeta matunda kwa kila mchezo ndiyo maana nasema najituma kwa kadri ninavyoweza ili kufikia malengo ya kupata namna ya kudumu,"alisema.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’