Furaha imerejea Msimbazi, Stand United wana kazi kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
โ€ข
20 Oct 2018
Furaha imerejea Msimbazi, Stand United wana kazi kesho
Baada ya kuwa na hali ya wasiwasi kwa siku tisa, wachezaji wa klabu ya Simba sasa wamerejea katika hali yao ya kawaida baada ya kupatikana salama kwa mdhamini wao, Mohammed Dewji โ€˜MOโ€™.

Dewji alitekwa Oktoba 11, amepatikana leo kwenye viwanja vya Gymkhana alfajiri akiwa salama.<

Mratibu wa klabu ya Simba, Abbas Ally alisema baada ya kupokea taarifa za kupatikana kwa Dewji, wachezaji walilipuka kwa furaha baada ya kuwa katika hali ya sintofahamu kwa siku tisa.

โ€œNi faraja kwetu wana Simba na wadau wa soka kwa ujumla, mbali kwa wadau na wana Simba, ni faraja pia kwa Watanzania ambao walifanya maombi kumwombea kwa Mungu mara baada ya kutekwa,โ€ alisema Abbas.

Alisema kuwa ilifikia hatua ya kuhairisha mazoezi baada ya Mo kutekwa kwani wachezaji walikumbwa na taharuki.

โ€œTunawashukuru wote waliofanya jitihada za kupatikana kwa mfadhili wetu ambaye amechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya klabu mpaka sasa,โ€ alisema.

Alifafanua kuwa mchezo wao dhidi ya Stand United itakuwa na msisimko wa aina yake kwani wachezaji hawatakuwa na jambo linguine wanalowazia zaidi ya kusaka ushindi.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE โ†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE โ†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE โ†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE โ†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE โ†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE โ†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE โ†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE โ†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE โ†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE โ†’