Watekaji watelekeza gari Gymkhana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Oct 2018
Watekaji watelekeza gari Gymkhana
Jeshi la Polisi linachunguza gari lililotelekezwa pembezoni mwa Gymkhana likidaiwa kuwa ndilo lililotumika kumteka Mfanyabishara maarufu nchini Bilionea Mohammed Dewji 'MO'.

MO amepatikana usiku wa kuamkia leo maeneo hayo hayo lilopotelekezwa gari hilo ambalo linadhaniwa pia ndilo lililotumika kumrejesha kisha wahusika kuliacha.

Jana Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Siro alitoa taarifa za uchunguzi wa tukio la kutekwa MO ambapo alibainisha kulitambua gari ambalo wanaamini lilitumika katika utekaji huo.

Gari hilo huenda ndilo lililotelekezwa Ghymkhana ingawa linaonekana kuwa na namba tofauti.

Akizungumza baada ya kupatikana MO, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema watekaji hao walitaka fedha.

"Mo amesema watekaji hao walitaka fedha. Hata hivyo yeye aliwasisitiza kumpigia baba yake kwa kuwa yeye alikuwa nao pale," amesema.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’