Mfanyabishara na Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'MO' amepatikana usiku wa kuamkia leo.
MO amepatikana akiwa mzima majira ya saa 8 usiku.
Kwa mujibu wa msemaji wa familia, Mo aliwapigia simu ndugu zake na kuwaambia wamfuate maeneo ya Gymkhana na walimkuta akiwa mzima kabisa.
Akizungumza kwa ufupi, MO amemshukuru Rais Magufuli pamoja Jeshi la Polisi kwa juhudi kubwa waliyofanya kumtafuta.
Lakini pia MO amewashukuru wananchi kwa dua na maombi yao.

ADVERTISE HERE