Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) Junuari Makamba kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagrma,amethibitisha kuzungumza na Mohammed Dewji

Tusubiri taarifa zaidi kutoka kwa Jeshi la Polisi

Tusubiri taarifa zaidi kutoka kwa Jeshi la Polisi
ADVERTISE HERE