Jeshi la Polisi latambua gari lililotumika kumteka MO

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Oct 2018
Jeshi la Polisi latambua gari lililotumika kumteka MO
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Siro amezungumza na waandishi wa habari leo ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam.

Miongoni mwa mambo yaliyozungumzwa na IGP Siro katika mkutano huo uliofanyika saa nne asubuhi ni sakata la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji β€˜Mo' ambalo limevuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi.

IGP Siro amesema Jeshi la Polisi limeendelea kuchunguza tukio hilo ambapo mpaka sasa tayari limefanikiwa kutambua gari ambalo wanaamini lilitumika kumteka MO.





Amesema baada ya kuzichunguza kwa umakini picha za kamera za CCTV, wamefanikiwa kubaini gari hilo. Wamemfahamu aliyekuwa analiendesha na pia wamefahamu nchi lilipotokea.

Siro amesema baada ya uchunguzi huo, wamejiridhisha gari hilo limetoka nchi jirani na liliingia nchini Septemba 01 mwaka huu.

IGP Siro amesema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea ambapo mpaka sasa watu nane kati ya 27 bado wanashikiliwa na Jeshi la Polisi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’