Pazi ataka Try Again abaki Simba upande wa mwekezaji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
19 Oct 2018
Pazi ataka Try Again abaki Simba upande wa mwekezaji
Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ aligoma kuchukua fomu ya kuwania nafasi kwenye Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo utakaofanyika Novemba 4, licha ya wadau mbalimbali kufanya juhudi za kumshawishi agombee.

Hata hiyo, imeelezwa licha ya kutojitosa kwenye kinyang’anyiro hicho, lakini Try Again huenda akaendelea kuwemo ndani ya Simba akiwa na nguvu kubwa kutoka upande wa pili wa mwekezaji baada ya kugundua umuhimu wake katika kupambania maendeleo ya klabu.

“Try Again hata kama hataki na alikataa kuchukua fomu ila naamini atakuwa sehemu nyingine uongozi upande wa Mwekezaji, ni kiongozi mzuri, anaweza kusimamia jambo lake, wanachama wa Simba wasifikirie kumkosa mtu muhimu kama huyo, bali atakuwa upande wa pili ambao ni bora zaidi.

“Akiteuliwa upande wa Mwekezaji atafanya kazi vizuri zaidi ya kuisaidia Simba kupata maendeleo na mafanikio, hawezi kuwaangusha Wanasimba kwani yeye ni Simba wa muda mrefu na ana mapenzi nayo,” amesema Nyota wa zamani wa Simba Iddi Pazi

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
38m ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →