Aliyekuwa mtangazaji nguli wa vipindi vya Michezo kabla ya kuchukuliwa na DW ya Ujerumani, Isack Gamba amefariki dunia.
Gamba amefariki nchini Ujerumani alikokuwa akifanya kazi Redio ya Deutch Well, idhaa ya Kiswahili
Kulingana na mmoja wa watu wake wa karibu Edo Kumwembe, umauti umemkuta Gamba nyumbani kwake huku dunia ikiwa haina habari kwani mlango wa nyumba yake ulivunjwa baada ya siku mbili za kutoonekana kazini.
Kabla ya kwenda nchini Ujerumani Gamba alifanya kazi Redio Uhuru na baadae Redio One ambako alijizolea umaarufu kutokana na umahiri wake katika utangazaji.
Gamba ndiye aliyeasisi msemo maarufu wa klabu ya Simba 'Wekundu wa Msimbazi'.
Mungu ailaze roho yake mahali pema, peponi AMEN.

ADVERTISE HERE