Leo Jumatano zimetimia siku sita tangu kutekwa kwa Mfanyabiashara, mlezi na mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'MO'.
Bado Watanzania tuna imani kuwa MO yuko salama na tunawaomba hao wanaomshikilia wamuachie huru.
Bado Watanzania tuna imani kuwa MO yuko salama na tunawaomba hao wanaomshikilia wamuachie huru.
ADVERTISE HERE