Klabu ya Singida United inadaiwa kukabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi iliyopelekea baadhi ya wachezaji kutolipwa mishahara hadi miezi mitatu.
Mlinzi wa pembeni wa Simba Jamal Mwambeleko aliyepelekwa klabu hiyo kwa mkopo ni miongoni mwa wachezaji waliojiondoa.
Kwa sasa Mwambeleko inaelezwa yuko nchini Kenya akifanya mazungumzo na vilabu kadhaa vilivyoonyesha nia ya kutaka kumsajili.
Mwambeleko aling'ara na kikosi cha Simba kwenye michuano ya Kagame CECAFA Cup iliyofanyika nchini Tanzania mwezi Julai.
Hata hivyo upana wa kikosi cha Simba ulipelekea mchezaji huyo kutolewa kwa mkopo ili kulinda kiwango chake.

ADVERTISE HERE