Kiraka Erasto Nyoni amedhihirisha umuhimu wake kwenye kikosi cha timu ya Taifa leo baada ya kuupiga mpira mwingi na kuwazima kabisa Cape Verde katikati ya dimba.
Nyoni hakujumuishwa na kocha Emmanuel Amunike kwenye kikosi kilichosafiri Cape Verde na kubugizwa mabao 3-0.
Juzi Amunike alimuita kikosini baada ya kuwaacha Hassani Kessy na Thomas Ulimwengu kutokana na kuwa na kadi mbili za njano
Lakini pia 'kelele' za mashabiki zilisaidia kwa kiasi kikubwa kwa Nyoni kurejeshwa kwenye kikosi cha Stars.
Kiwango alichoonyesha leo ni dhahiri kitamfanya kocha Amunike ajilaumu kwa kumuacha kwenye mchezo uliopita
Nyoni na Kelvin Yondani wameonyesha tofauti kubwa kwenye mchezo wa leo.

ADVERTISE HERE